Hii mada imeshajadiliwa humu mpaka watu wamechoka....fuatilia thread za JF Doctor zenye titles zifuatazo (sorry sina utaalam wa kuweka links za thread hizo hapa):
1. Siku zipi nzuri za kukamata mimba
2. Kupata mimba
3. Inawezekana kweli?
Kwenye hizo thread utakuta kila unalotaka kujua kuhusu mzunguko wa mwanamke.