Mzunguko wa Hedhi: Naomba msaada toka kwa wataalamu

Mzunguko wa Hedhi: Naomba msaada toka kwa wataalamu

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Please naomba kuuliza!Sipendi kutumia condom na mama watoto wangu.JE NI SIKU GANI NI ZA HATAR?NAOMBA NIFUNDISHWE MZUNGUKO ULIVYO.
 
Hii mada imeshajadiliwa humu mpaka watu wamechoka....fuatilia thread za JF Doctor zenye titles zifuatazo (sorry sina utaalam wa kuweka links za thread hizo hapa):
1. Siku zipi nzuri za kukamata mimba
2. Kupata mimba
3. Inawezekana kweli?

Kwenye hizo thread utakuta kila unalotaka kujua kuhusu mzunguko wa mwanamke.
 
pia unaweza kwenda kwa wataalamu wa kinamama ukiambatana na mkeo watakufundisha/kukuelekeza mzunguko wa hedhi unavyokwenda
 
Back
Top Bottom