Mzunguko wa mke wangu bado unanitesa

Mzunguko wa mke wangu bado unanitesa

Habari wakuu,

Nilileta hapa jukwaani Uzi wa siku za hatari za mke wangu.

Kitu kinachonikanganya ni mzunguko wake, manake mwezi December hakuingia kabisa katika ada yake.

Mwezi November aliingia tarehe 2 na ikakata tarehe 8.

Chakusikitisha ni kwamba ada yake ( hedhi) imerejea tena november 12 , 2017 .

Sasa najiuliza ndo mzunguko gani huu?, je utahesabuje siku za hatari?

Mara ya mwisho kuziona siku zake ilikuwa october 22 , 2017 hadi alipoziona tena december 2, 2017.

Je huu ni ugonjwa ama ni mabadiliko tu yakimazingira?

Afu wadau wengine wanakwambia siku ya hatari ni siku ya 14 tokea aanze hedhi , kweli ?

Nawasilisha.
Ni kweli siku ya 14 ndiyo ya hatari zaidi sababu ndiyo siku yai linasafiri kuja mji wa mimba kurutubishwa. Na yai linakuwa hai kati ya masaa 12-24 halafu hufa. Lakini kwa kuwa mbegu za kiume zinaweza kuwa hai kwa siku 5-7 ndani ya mwili wa mwanamke, kufanya ngono kuanzia siku ya 8 bado kunaleta uwezekano wa kushika mimba.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wee jamaa umenichekesha sana.
IMG-20160112-WA0010.jpg
 
Ni kweli siku ya 14 ndiyo ya hatari zaidi sababu ndiyo siku yai linasafiri kuja mji wa mimba kurutubishwa. Na yai linakuwa hai kati ya masaa 12-24 halafu hufa. Lakini kwa kuwa mbegu za kiume zinaweza kuwa hai kwa siku 5-7 ndani ya mwili wa mwanamke, kufanya ngono kuanzia siku ya 8 bado kunaleta uwezekano wa kushika mimba.
Kwa mzunguko upi?
 
Mkuu mbegu inayokaa hai kwa muda mrefu si ni ya kike, au nimekosea , ? Kwa ninavyo fahamu za kiume huwa fasta kulikimbilia yai lkn hufa mapema sana za kike ndo huwa hazina mwendo ila zina maisha marefu sana , which add up to your theory kuwa mbegu ya tar 8 inaeza kuja kurutubisha yai la tar 14 , na ni sababu pia ni rahisi sana kupata mtoto wa kike kuliko wa kiume .
Wajuvi zaidi watuelimishe
 
Uko sawa. Aliyeleta uzi hakuwa selective kwa jinsia ya featus ndio maana nami nikajibu generally.
 
Vitu private km hivi watu wanavianika hadharani it doesnt bother you?
Nenda hospital
Mkuu usitake nistaajabu ya musa kwa kuyaona ya firauni.. sasa hapo kakosea nini, jamaa anaomba msaadan kwa ajili ya mkewe, inaonesha anamjali, kitu kikubwa mnoo katika mapenzi hasa ndoa,

Kikubwa zaid wewe jamaa humjui, wala huyo mkewe humjui.. kupitia swali lake wengi wataelimika
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom