Mzunguko wa pili wa NBC Premier League walipokaa kileleni walitamba mno mbona sasa mzunguko wa nne wako kimya?

Mzunguko wa pili wa NBC Premier League walipokaa kileleni walitamba mno mbona sasa mzunguko wa nne wako kimya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tafadhali naomba mwenye Jedwali la Msimamo wa Ligi Kuu yetu ya NBC aniwekee hapa tafadhali ili tujikumbushe na tusisahau au tusijisahaulishe kwa Makusudi.
 
Kwa hiyo hii timu iliishia kufunga goli tano mara 2 tu ikawa basi.
 
Back
Top Bottom