Mzunguko wangu siuelewi

Mzunguko wangu siuelewi

Hongera tufikishie salama mgeni wetu,ila usiogope kuna watu wanatamani iwatokee na haijawahi kamweee!!!!!
 
nilikutana nae kuanzia tarehe13 mpk 17,ambapo tarehe17 usiku ndo nikameza dawa za malaria,tarehe20 nikapata period kwa siku5,then tarehe25,26 niliduu..mwez huu nimeduu tarehe6 na 7..sijapata period tangu nilivyomaliza hedh ya tarehe20 nazid kua mchovu,kichefuchefu,miguu kuuma,barid,usingizi, nk.

upt positive
 
Kuduu siku mbili mbili mfululizo ndio utaratibu wako? 25&26, 6&7:A S wink: Kwa kuhakikisha wahi kwa watoa huduma u-chek kupata uhakika wa kinachokusibu.

Back
Top Bottom