Mzunguko wangu wa siku za mwezi unanichanganya

asante kwa ushauri mkuu .dunia ingekuwa na watu hata mia tu kama wewe ingekuwa sehemu salama sana .asante sana wewe ndo mwanaume sasa .mtu ana shida yake anauliza hii ni open forum mtu anakuja na kejeli tu .
 
mkuuu mbona nipo ok tu na maisha
 
acha uzamani mkuu kitu cha kawaida hiki
 
Nasikia ule mchezo ukikosa ratiba nao unachangia,ndio maana hizo hali za kawaida sana siku hizi!
 
huna matatizo mamy .. wengine hubadilika badilika lakini mambo safi .. ila acha kuwatusi wanaume wakupende ha ha hahaha .. wapende mahaba niue kubali kufa,....... ila pesa nayo uangalie iwepo
ahahaaa kwani nawachukia wanaume jamani?
 
[QUOTE="Miss Natafuta,
acha ujinga[/QUOTE]

ujinga kuolewa au kutokuolewa? but ujinga ni kutokujua huenda still hujajua umuhimu wa kuolewa

pili swali lako halijakaa vizuri maana hata uwe na mzunguko wa siku 28 huwezi kuona siku zako kila tarehe 28 ya mwezi unaofuata

mzunguko sio tarehe za mwezi bali ni zile siku toka umeanza period yako

na record huchukuliwa mzunguko wa miezi mitatu hapo ndipo utajua ni mrefu siku 29 au mfupi siku 27 na kama ni unperiodic utajua

mfano umeingia tarehe leo tarehe 26 ina maana mwezi ujao utaingia tarehe 23 kwa yule wa siku 28 normal woman
na huyu mwenye mfupi 22
mwingine hukata hadi siku tatu tarehe 20 sasa hapo kuna sababu zinazofanya itokee hivyo

hormone imbalance
stress
mpangilio mbovu wa kula
utoaji mimba n.k

hebu funguka records zako tatu za nyuma usaidiwe
 
huna matatizo mamy .. wengine hubadilika badilika lakini mambo safi .. ila acha kuwatusi wanaume wakupende ha ha hahaha .. wapende mahaba niue kubali kufa,....... ila pesa nayo uangalie iwepo
Anakosa mengi!!......hajui hata rahaa ya kupanda juu![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kuhusu mazingira sijabadili mkuu!wala sijasafiri .pia situmii dawa zozote za uzazi maana sifanyi mapenzi na yoyote
kuhusu ngono sijafanya kitambo sana mkuu almost yrs!
Aina ya vyakula pia huweza Badilisha mzunguko..
Pia chronic depression inaweza pia badilisha mzunguko wa hedhi..

Pia tention.. Nayo yaweza badili..
In fact Kuna factors nyingi sana zinazoweza kuathiri mzunguko wa hedhi..
Kikubwa ni kumuona daktar.. Na kumueleza historia yako.. Ndo Utaweza kugundua chanzo hasa ni nini..

Polee Sana Miss.. Ts a good sign ya kuwaza kupata mtot.
 
 
kupanda juu usinikumbushe ni tamu haina kupakna majasho
ahahaa kupanda juu kazi utaweza? mimi nikipanda nakaa tu kama gogo simove wala nini ndo maana niliachwa jamani mimi mvivu hadi basi
 
Sasa kwa nini huzai? Kuna shida au bado hujapata mwenza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…