N.I.T kuanza kutoa marubani

Jerry Jerry

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
40
Reaction score
0
Leo katika pitapita zangu nimekutana na habari kuwa chuo cha taifa cha usafirishaji karibuni kitaanza kutoa kozi za urubani.
 
Tusiposikia mmoja wa wahitimu amepaki ndege Mwenge,sijui!

Au mmoja kamgonga mwenzake huko juu angani,vyuo vya Tanzania haviaminiki kabisa
 
Mi nihisivyo the industry ya urubani haihitaji "magumashi" hali ya kuwa nikikiangalia hicho chuo na hiyo location yake ni magumashi tu. Mungu atulinde huko tuendako ila?
 
Leo katika pitapita zangu nimekutana na habari kuwa chuo cha taifa cha usafirishaji karibuni kitaanza kutoa kozi za urubani.

Huu ni ujinga. Wanatoa Marubani ili wakaendeshe ndege zipi???. Kama mtu anataka frustrations za maisha aende akasome huo urubani. Maana akitoka huko ataenda kuendesha ndege ya shangazi yake, kama shangazi yake hana ndege ya kumpa aendeshe amekwisha.
 
Wengne mkikosagb vya kuropoka bora mkaage kimya... mnasahau kuwa kile ndo authorized institute 4 transport studies in tz. Na pia ni one among only 3 institutes in afrc vinavyotoa mafunzo ya transport..... mnataka maendeleo gan sasa nyie watanzania ???
 
Huu ni ujinga. Wanatoa Marubani ili wakaendeshe ndege zipi???. Kama mtu anataka frustrations za maisha aende akasome huo urubani. Maana akitoka huko ataenda kuendesha ndege ya shangazi yake, kama shangazi yake hana ndege ya kumpa aendeshe amekwisha.

Kwani ndege zipo Tanzania tu? Kwanini kisiwe chuo cha kuandaa marubani watakaorusha ndege popote pale ulimwenguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…