K Kadabrah Member Joined Nov 8, 2013 Posts 54 Reaction score 7 Oct 2, 2014 #1 Jamani wameshatoa majina nenda kwenye website yao kwenye ile sehemu ambayo ilikua inaselection za wale wa certificate wameongeza za digrii na diploma simu yangu haina uwezo ningewawekea na link mwenye uwezo atupie link..
Jamani wameshatoa majina nenda kwenye website yao kwenye ile sehemu ambayo ilikua inaselection za wale wa certificate wameongeza za digrii na diploma simu yangu haina uwezo ningewawekea na link mwenye uwezo atupie link..
J JAMAA HUYU Member Joined Dec 3, 2013 Posts 37 Reaction score 12 Oct 2, 2014 #2 http://www.nit.ac.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=8&Itemid=657
E Eli H Eli New Member Joined Sep 24, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Oct 2, 2014 #3 Thanks 4 the information!!
K Kadabrah Member Joined Nov 8, 2013 Posts 54 Reaction score 7 Oct 2, 2014 Thread starter #4 JAMAA HUYU said: List of Selected Students 2014-15 - List of Selected Students - National Institute of Transport (NIT) Click to expand... Yah thats one, gud bwooy
JAMAA HUYU said: List of Selected Students 2014-15 - List of Selected Students - National Institute of Transport (NIT) Click to expand... Yah thats one, gud bwooy
H H.M.MUYANGO Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 110 Reaction score 9 Oct 2, 2014 #5 Kadabrah said: Yah thats one, gud bwooy Click to expand... jina MUSSA HARUNA lipo naomba unichekie wenye cmu zinyeuwezo!
Kadabrah said: Yah thats one, gud bwooy Click to expand... jina MUSSA HARUNA lipo naomba unichekie wenye cmu zinyeuwezo!
K KEFA PATSON Member Joined Sep 9, 2014 Posts 30 Reaction score 0 Oct 2, 2014 #6 Wale wa equivalent mmeona majina yenu au ndo second batch.
R rozey Member Joined Sep 25, 2014 Posts 35 Reaction score 1 Oct 3, 2014 #7 jaman mbona majina mengine hayapo na tcu wameonesha npo nit apo inakuaje sasa msaada jaman celew ata nfanye nn
jaman mbona majina mengine hayapo na tcu wameonesha npo nit apo inakuaje sasa msaada jaman celew ata nfanye nn