N.I.T selection 2014/2015

N.I.T selection 2014/2015

Kadabrah

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
54
Reaction score
7
Jamani wameshatoa majina nenda kwenye website yao kwenye ile sehemu ambayo ilikua inaselection za wale wa certificate wameongeza za digrii na diploma simu yangu haina uwezo ningewawekea na link mwenye uwezo atupie link..
 
jaman mbona majina mengine hayapo na tcu wameonesha npo nit apo inakuaje sasa msaada jaman celew ata nfanye nn
 
Back
Top Bottom