umenikumbusha mbali Mkuu,kuna jirani yangu yeye akitoka kirabuni (Mataputapu) usiku mnene anapita na chorus yake moja tuNInatembea kidogo kidogo nikinyata, basi anairudia hiyo hiyo mpaka anafika home
umenikumbusha mbali Mkuu,
kuna jirani yangu yeye akitoka kirabuni (Mataputapu) usiku mnene anapita na chorus yake moja tu NInatembea kidogo kidogo nikinyata, basi anairudia hiyo hiyo mpaka anafika home