Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
huyu sio mlevi ila anaigiza uleviumenikumbusha mbali Mkuu,kuna jirani yangu yeye akitoka kirabuni (Mataputapu) usiku mnene anapita na chorus yake moja tuNInatembea kidogo kidogo nikinyata, basi anairudia hiyo hiyo mpaka anafika home