N

iyo ndoto inamaana! mimi nimeota sana! angalia kuna kitu cha hatari kina kufatilia hasa roho ya mauti!

Roho ya mauti inatafuta sababu hapo!
1. yawezekana kuna watu wanapanga kukuua
2. yawezekana unacheza mazingira hatarishi ya kimausiano pengine unao cheza nao ni +ve
3. Mungu amekuonesha kabisa usije sema hukujuwa! nenda ufunge na kuomba bado Mungu anakupenda kukuonesha hizo ndoto.
 
+ve ina maana gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo ni tatizo la kula vyakula vigumu usiku halafu unaenda kulala. Usiku usile ugali mgumu au mihogo lazima uote hivyo
 
Sasa unamkimbia simba kwani we yanga?

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…