Sylvanus97
Member
- Mar 3, 2019
- 14
- 9
Jaman naombeni ushauri jana nimeota nakimbizwa na Simba tafsuru yake ni nn??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+ve ina maana gniyo ndoto inamaana! mimi nimeota sana! angalia kuna kitu cha hatari kina kufatilia hasa roho ya mauti!
Roho ya mauti inatafuta sababu hapo!
1. yawezekana kuna watu wanapanga kukuua
2. yawezekana unacheza mazingira hatarishi ya kimausiano pengine unao cheza nao ni +ve
3. Mungu amekuonesha kabisa usije sema hukujuwa! nenda ufunge na kuomba bado Mungu anakupenda kukuonesha hizo ndoto.
HIV POSITIVE
ukimwi mzee baba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujue utakuwa KIPORO chA SIMBA WEWE kimbia sana usishinde nyumbani leo
tafsuru??? kweli unakimbizwaJaman naombeni ushauri jana nimeota nakimbizwa na Simba tafsuru yake ni nn??
Sent using Jamii Forums mobile app