Na bado wanangangania goli aisee Simba nyie, Refa apewe maua yake kabisa

Kaka hii ni Bongo lazima ukumbuke! Aliyekataa goli ni mtu wa bendera tena baada ya goali kufunguwa na sio wakati mwalimu akiwa offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…