mi alivosema .........nipo namrassia now.... sikuelewa ujue!asanteh sana binti Mtambuzi yani babako angekuwa na akili kama yako sijui mama ngina angeonaje raha au yale maneno ya muuza ubuyu ya kweeeli? #just sayingHere we go again! Hii syndrome ya kutamba mkipata wanaume weupe sijui mtaponaje. Mweh! Msalimie mrussia!
mi alivosema .........nipo namrassia now.... sikuelewa ujue!asanteh sana binti Mtambuzi yani babako angekuwa na akili kama yako sijui mama ngina angeonaje raha au yale maneno ya muuza ubuyu ya kweeeli? #just saying
He!
Kumbe Huyo Ni "He"?
Majina Jaman...!!
Eti KING'ASTI!?
king'asti jamani hadi wewe.
hapana wanaume weusi pia wako juu n baba zangu,kaka,wajomba,marafiki ila imetokea tu,na pia mona nyie wanaume mnapenda wanawake weupe!