flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
geomatics.ila jumatatu naamkia paleKozi gani mkuu
Nilipata dit na wameniandikia did not secure a higher education loan,HII BALAA SASA
course gani mkuu,nahisi kufakufa hapa...
mmh,dit?,itakuwa kuna makosa uliyafanya kwenye kujaza form zao japokuwa mkopo smtm bahati ya mtu,mi nahs huwaga wanapiga ana ana do.. Kuchagua wapatao mkopo sdhan kama wanazngatia vgezoo
kama ni makosa si ningeona jina kwenye list walotoaga??labda ukisema bahati siyo yangu tu.