..na course yangu ya priority nimekosa mkopo

..na course yangu ya priority nimekosa mkopo

Nilipata dit na wameniandikia did not secure a higher education loan,HII BALAA SASA
 
usiwaze kaka huwa wanatoa option ya appeal kwa wanaohitaji!
 
mmh,dit?,itakuwa kuna makosa uliyafanya kwenye kujaza form zao japokuwa mkopo smtm bahati ya mtu,mi nahs huwaga wanapiga ana ana do.. Kuchagua wapatao mkopo sdhan kama wanazngatia vgezoo
 
mmh,dit?,itakuwa kuna makosa uliyafanya kwenye kujaza form zao japokuwa mkopo smtm bahati ya mtu,mi nahs huwaga wanapiga ana ana do.. Kuchagua wapatao mkopo sdhan kama wanazngatia vgezoo

kama ni makosa si ningeona jina kwenye list walotoaga??labda ukisema bahati siyo yangu tu.
 
mwana hawa heslb na tcu hawaeleweki kwani katika chuo cha USAFIRISHAJI/NIT kozi zote waliweka priority lakini hakuna kitu.kaa vp nawokea huko nikapate majibu huko.
 
Back
Top Bottom