Na disegn motor za AC & DC

Na disegn motor za AC & DC

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....

Mawasiliano

+255715797533

+255766047815
 
Tumia lugha nyepesi AC NA DC NI NINI?
 
motor kama za blender mashine, upo wapi
 
Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....

Mawasiliano

+255715797533

+255766047815
je kuna uwezekano wa kufuma mota kwa kupunguza mwendo kasi kufikia kama 10 rpm ila kuiongeza nguvu (torque) mara dufu bila kutumia gia kwa mota ya mwendo kasi wa juu ya kama hp 1.5?
 
Inawezekana mkuu
 
Back
Top Bottom