Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa



Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
Chit-chat mzee baba, full kucheka...usikute hana hata baiskeli, yupo juu ya bati anasubiri helikopta aoshe jina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi nacheka sana
 
Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa



Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga

ndio maana nilitaka kuuliza.....ni wenye kluger tu ndio wasalimiane..........which means wengine tupite kimya kimya......anyway.....nakusalimia mkuu Fortuner.......
 


Kitu hicho...Suzuki Kei, Inter cooler-Turbo 6lt - VVTi, AW&T tyres
Dar - Lusaka dakika 0.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Najua wengine mna ugeni na vyombo vya moto, acha niwapeleke 'kikatibu mwenezi wa chama'

Inter cooler - Turbo nafikiri wote mnaona vent ya inter cooler kwenye bonet, turbo charger inakaa kwa ndani.

Engine ni 6 cylinders capacity ya 6000cc (very pawafulo prado nyuma mbali) Variable Valve Timing with Intelligence

AW&T ni All Weather & Terrain. Yaani hiyo tairi inavuruga hali yeyote ya hewa na barabara, iwe snow iwe vumbi, lami vs udongo wa Goba.

Kwa wanaume wa kweli
 
Dk 0 ina sekunde ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…