Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah dah!!!imebidi nicheke mkuu..."Wheel Barrow"?Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa
![]()
Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
Chit-chat mzee baba, full kucheka...usikute hana hata baiskeli, yupo juu ya bati anasubiri helikopta aoshe jina.Hahahahah dah!!!imebidi nicheke mkuu..."Wheel Barrow"?
Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa
![]()
Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi nacheka sanaChit-chat mzee baba, full kucheka...usikute hana hata baiskeli, yupo juu ya bati anasubiri helikopta aoshe jina.
Shangaa na weweyani na nyie wenye magari kumbe huwa mnapondeana.....mweeehhh!!
Kwanini mkuuNikipewa Passo na Kluger ya bure, nachagua Passo.
Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa
![]()
Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
Unadhani Fortuner nshanunua? Bado laki kumi na tatu. Sasa hivi nina Suzuki Kei, Inter coolerndio maana nilitaka kuuliza.....ni wenye kluger tu ndio wasalimiane..........which means wengine tupite kimya kimya......anyway.....nakusalimia mkuu Fortuner.......
Dk 0 ina sekunde ngapi?![]()
Kitu hicho...Suzuki Kei, Inter cooler-Turbo 6lt - VVTi, AW&T tyres
Dar - Lusaka dakika 0.
😀😀😀
Najua wengine mna ugeni na vyombo vya moto, acha niwapeleke 'kikatibu mwenezi wa chama'
Inter cooler - Turbo nafikiri wote mnaona vent ya inter cooler kwenye bonet, turbo charger inakaa kwa ndani.
Engine ni 6 cylinders capacity ya 6000cc (very pawafulo prado nyuma mbali) Variable Valve Timing with Intelligence
AW&T ni All Weather & Terrain. Yaani hiyo tairi inavuruga hali yeyote ya hewa na barabara, iwe snow iwe vumbi, lami vs udongo wa Goba.
Kwa wanaume wa kweli
Kwa hapa Tanzania km 60 hivi, kutegemeana na thamani ya shilingiDk 0 ina sekunde ngapi?
Eti hizo zinaitwa usafiri, mengine ni magari[emoji23]Hahahaha wenye magari mna shida sana jf kwahiyo wenye vitz na passo hao hawaendeshi magari
Boya wwKwa hapa Tanzania km 60 hivi, kutegemeana na thamani ya shilingi