Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Hi! Jamani inasemekana kuwa % kubwa ya wanaohudhuria kwa sangoma kuhusu suala la mapenzi ni wanawake, SASA,,,, sababu inayomfanya mwanawake kwenda kwa waganga wa kienyeji ni nini? Je,
1. Hajiamini kwamba ana uwezo wa kumdatisha mumewe akadata?
2. Ni wivu? Kwamba hataki asalimiane hata na majirani?
3. Na wenyewe wanataka kuonekana ni wababe mbele ya wanaume zao?
4. Ni ujinga?
5. Ni kuigana?
Mezaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!