Na hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikera na Kuamua kuwaacha mpotee, sasa huyu Striker Jonathan Sowah wa nini Simba SC Kwetu?

Na hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikera na Kuamua kuwaacha mpotee, sasa huyu Striker Jonathan Sowah wa nini Simba SC Kwetu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
 
Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
Jonathan Sowah atakuwa mzigo Simba ni kweli.
Pressure ya mashabiiki + kurogwa na wazee wa nyuma mwiko,mtamkataa mspema sana.
Niliona akicheza na nyuma mwiko mwaka juzi kama sio mwaka jana,akiwa anategemewa sana na mashabiki wake,hakufanya lolote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Umezingua babaaa, kwahiyo waliopo sio bora?, au ulitaka asajiriwe wessam abou ally, au emam ashour? Alexander isak?
 
Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
Jiulize hili swali ni nani katika striking force ya Simba anafikia hata nusu ya Sowah.?

Otherwise ni chuki na woga tu.
 
Ligi yetu imeisaidia taifa stars kufuzu afcon tena ikiifunga team yenye striker wa Dortmund
Sowah ni mzuri ila simba itampoteza
 
Hawezi kuja simba hata kwa bahati mbaya yaani mr maokoto the minister amuuzie adui yake silaha itakayomdhuru yeye hawezi ng'o..!!
 
Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
Kama kuja Tanzania inamaanisha yeye mbovu,basii wachezaji wote wa ligi hii ni wabovu kwa hiyo usiwashauri simba chochote maana kwa mujibu wako hata wakaja Vinicious Jr na lamine Yamal nao watakuwa wabovu tu
 
Back
Top Bottom