kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Nov 20, 2020 #1 Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu, Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia "kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu, Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia "kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,691 Reaction score 2,967 Nov 22, 2020 #2 sawa
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 29, 2020 #3 Pale mchaga anapokutana na Dem wa kihaya