Hahahaha......ufisadi hautoishaMpiga Picha; Mwalimu Mkuu Nitakuchaji Kila Mwanafunzi Sh. 500 Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mwalimu Mkuu: Mwalimu Waambie Wanafunzi Walete Sh, 1000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mwalimu: Wanafunzi Mnatakiwa Mlete Sh 2000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Paspot Size.
Kila Mwanafunzi Nyumbani Kwao: Mama Tumeambiwa Tupeleke Sh 2500 Shuleni Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mama: Mme Wangu Mtoto Anataka Sh 3000 Kwa Ajili Ya Zile Picha Za Pasport Size Shuleni.
Unadhani Kwa Style Hiyo Ufisadi Utaisha??
Muwe Na Siku Njema.
Mi nimefanya CONTROL C na CONTROL V!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] atahamaki!Aisee, shughuli itakua pevu pale mtoto wa mpiga picha anayesoma hiyo shule (babaye alipochukua tenda) atakapojaribu kupiga cha juu.