Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mpiga Picha; Mwalimu Mkuu Nitakuchaji Kila Mwanafunzi Sh. 500 Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mwalimu Mkuu: Mwalimu Waambie Wanafunzi Walete Sh, 1000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mwalimu: Wanafunzi Mnatakiwa Mlete Sh 2000 Kila Mmoja Kwa Ajili Ya Paspot Size.
Kila Mwanafunzi Nyumbani Kwao: Mama Tumeambiwa Tupeleke Sh 2500 Shuleni Kwa Ajili Ya Pasport Size.
Mama: Mme Wangu Mtoto Anataka Sh 3000 Kwa Ajili Ya Zile Picha Za Pasport Size Shuleni.
Unadhani Kwa Style Hiyo Ufisadi Utaisha??
Muwe Na Siku Njema.
Mi nimefanya CONTROL C na CONTROL V!