Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Daaah!! Umenchekesha saana mkuu. [emoji1787][emoji1787]
Bonyokwa: Wenye kadi pitia bia zako tatu au soda tatu mlangoni. Imeisha hiyo.MC wa Masaki: Wahudumu hakikisheni meza haikai bila kinywaji.
MC wa Mbagala nk: Wahudumu sitisheni kugawa vinywaji mpaka tutakapokula.
Bonyokwa: Wenye kadi pitia bia zako tatu au soda tatu mlangoni. Imeisha hiyo.
AiseeMANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Masaki,Oysterbay,Upanga na Mikocheni
>Karibuni wageni waalikwa kuna cocktails ipo pale kwa ajili yenu
>Mwenye gari namba DTA142 amepaki vibaya gari yake inaziba njia.
>Kamati ya chakula mjiandae
>Kwa heshima na taadhima naomba maharusi wetu msogee hightable.
MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Bonyokwa,Manzese,Mbagala,Keko na Buza.
>Mlizani haolewi na sasa kaolewa wenye visokolokwinyo mtakufa kwa vijaba vya roho[emoji3].
>Asiyetunza mchawi.
>Asiye na mwana,aeleke jiwe Bibi weweee[emoji23].
>Nyie mnaocheza karibu na waya ondokeni hapo msije mkazima muziki.
>Jamani msimrudie chakula mara mbili kuna wenzenu hawajala[emoji23]
Ongezea na yako!
Unajiita malaya unavaa chupi nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unajiita Malaya wakati hujawahi iba Mume wa mtu..wajiita Malaya hujawahi vunja ndoa ya mtu...wajiita Malaya huna kitanda Wala dressingtable..
Mimi ndiyo mc kidawa a.k.a ndimu mkata shombo kiboko ya waazima mawig...[emoji23][emoji23]...nabaki heeh! Mambo yenyewe ndiyo yalivyo[emoji848]
๐๐๐๐๐Uswahilini kuna vituko sanaUnajiita malaya unavaa chupi nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unajiita malaya hujawahi kufika Zanzibar.
Unajiita malaya kumbe hata kijora unaazima.
Piga kelele kwa Mc akeeeee weuweeeeeeeeee.
AAfu ndo vinaongeza siku za kuishi... maana fulu kucheka bin kushangaa๐๐๐๐๐Uswahilini kuna vituko sana
MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Masaki,Oysterbay,Upanga na Mikocheni