Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Daaah!! Umenchekesha saana mkuu. [emoji1787][emoji1787]
Ndivyo ilivyo mkuu, kuna harusi ukienda nenda na na bajeti yako ya vinywaji kama hupendi kukatwa stimu.
Au kunywa kwanza nje, ndani ingia kwa ajiri ya kula tu.
Huchelewi kuanza na kinywaji hiki, unashangaa kimeisha, mara badili kinywaji nk.