Na hii ndio tofauti ya ma MC wa uswazi na wa ushuani

Na hii ndio tofauti ya ma MC wa uswazi na wa ushuani

RtsHjcq

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
4,753
Reaction score
5,512
MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Masaki,Oysterbay,Upanga na Mikocheni

>Karibuni wageni waalikwa kuna cocktails ipo pale kwa ajili yenu

>Mwenye gari namba DTA142 amepaki vibaya gari yake inaziba njia.

>Kamati ya chakula mjiandae

>Kwa heshima na taadhima naomba maharusi wetu msogee hightable.

MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Bonyokwa,Manzese,Mbagala,Keko na Buza.

>Mlizani haolewi na sasa kaolewa wenye visokolokwinyo mtakufa kwa vijaba vya roho[emoji3].

>Asiyetunza mchawi.

>Asiye na mwana,aeleke jiwe Bibi weweee[emoji23].

>Nyie mnaocheza karibu na waya ondokeni hapo msije mkazima muziki.

>Jamani msimrudie chakula mara mbili kuna wenzenu hawajala[emoji23]

Ongezea na yako!
 
kwenye sherehe waosubiria lift wanacheza karibu na mlago na mwenye gari hata alienda maliwato anatoka nje kusubiria hasa wa BUZA kwa mpalange
 
[emoji3][emoji23][emoji23]
Usisahau na huu msemo " Simu yangu jamani mbona ilikuwa hapa mbona siiyoni"[emoji1787] uje Hapo tayari kimewaka,[emoji2957][emoji1751][emoji125]
 
Unajiita Malaya wakati hujawahi iba Mume wa mtu..wajiita Malaya hujawahi vunja ndoa ya mtu...wajiita Malaya huna kitanda Wala dressingtable..

Mimi ndiyo mc kidawa a.k.a ndimu mkata shombo kiboko ya waazima mawig...😂😂...nabaki heeh! Mambo yenyewe ndiyo yalivyo🤔
 
Unajiita Malaya wakati hujawahi iba Mume wa mtu..wajiita Malaya hujawahi vunja ndoa ya mtu...wajiita Malaya huna kitandani Wala dressingtable..

Mimi ndiyo mc kidawa a.k.a ndimu mkata shombo kiboko ya waazima mawig...[emoji23][emoji23]...nabaki heeh! Mambo yenyewe ndiyo yalivyo[emoji848]
[emoji23][emoji23] hii hatari kabisa
 
Back
Top Bottom