T the desire Member Joined Apr 17, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Aug 29, 2011 #1 Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
T the desire Member Joined Apr 17, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Aug 30, 2011 Thread starter #2 wanajamii heri ya sikuu.Maharage aina ya ngwara ni LABLAB Bean kwa kiingereza.