Na hili je?

Na hili je?

the desire

Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
10
Reaction score
0
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati mwingine. je jina lake kiingereza ni nini?
 
wanajamii heri ya sikuu.Maharage aina ya ngwara ni LABLAB Bean kwa kiingereza.
 
Back
Top Bottom