Na hili je?. . . . .!!!!

Na hili je?. . . . .!!!!

Ntafurahi na kumpa moyo kuwa siku nyingine akizidiwa wakati sipo asimpelekee mtu kimwaga mkojo chake bali ajichue kwa raha zake.

I don't bilivu this!
 
Tatizo ni kwamba watu wanafichana vitu wanavyovifanya hata kama havina madhara makubwa kwenye mahusiano.

Hivi kuna watu hawaelezani kwamba once in while wanajipa self service?

Hata hivyo kama mko wote muda wote, basi hiyo siyo dalili nzuri kwani kunaonesha dalili za cheating kwa mawazo..!

Babu DC!!
 
Babu DC,asante kwa kuonesha kuwa inaweza kuwa kuna tatizo zaidi!
 
Babu DC,asante kwa kuonesha kuwa inaweza kuwa kuna tatizo zaidi!


Hapawezi kuwa hakuna tatizo, labda kama mmoja amejifanya busy na kum-starve mwenzake. Katika hali kama hiyo ni jambo ambalo si gumu kueleweka.

Ila kama maisha yanaendelea kama kawaida na dinner inapatika katika regular intervals, halafu mmoja anataka kujiongezea bonus kwa self service basi kuna tatizo na siyo dogo!!

Babu DC!!
 
Babu DC i got u,thanx much!
 
Back
Top Bottom