Tatizo ni kwamba watu wanafichana vitu wanavyovifanya hata kama havina madhara makubwa kwenye mahusiano.
Hivi kuna watu hawaelezani kwamba once in while wanajipa self service?
Hata hivyo kama mko wote muda wote, basi hiyo siyo dalili nzuri kwani kunaonesha dalili za cheating kwa mawazo..!
Babu DC!!