Na hizi ni sababu za Simba S.C kutakata katika VPL

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Tangu Vodacom Premier League [VPL] ianze, Simba S.C imeweka rekodi ya kua ni timu pekee, inayotandaza soka maridadi saaaana.. Nyuma ya hilo soka maridadi [la kitabuni] kuna vi "uchawi" tofauti tofauti vingi.. baadhi ni:

1. Dylan Kerr
Mkwakwani palikua pachungu sana. Baada ya Genius Kerr kutua na kumwaga tu "uchawi" twake kidogo ambato bado hatujakolea, Mkwakwani imekua kama mbuga yenye swala tu.. tunaamua tumle yupi na tumle vipi.. tunaamua leo tuanze na paja au kiuno.. Coastal Union mjiandae tunakuja .. nyinyi tutaanza na mshipa wa shingo.. jugular vein [ile sehemu simba anakimbilia kabla ya kuua swala]

2. Hamis Kiiza a.k.a Aguero
Kiiza alikua nje ya uwanja kwa zaidi ya mwaka.. Watalamu Kerr na Momclovic walipomuona walishangaa sana, timu inamuachaje mchezaji kama huyu.. walimkalisha chini na kumnywesha "uchawi" maalumu miksa ya Uingereza na Serbia.. matokeo yake jamaa amekua mwiba mkali kwa mabeki wa timu pinzani.. kila anapoingia uwanjani lazima amrudishe kipa kuokota mpira nyavuni.

3. Manyika Jr.
Baada ya kosa lililotunyima kuondoka na ushindi jijini mbeya msimu uliopita + masuala ya nje ya uwanja yaliyokua yakimsumbua.. ni dhahiri kua mlango wa kutokea ulikua wazi kwa Manyika Jr. katika msimu huu. Baada ya kutua kocha wa makipa, mwenye heshima kubwa katika ukanda wa CECAFA.. alimkalisha chini akamjenga kisaikolojia.. akammwagia vi "uchawi" kidoogo toka Kenya.. mpaka sasa Manyika Jr.. hajafungwa goli hata 1, huku akiokoa michomo kadhaa ya hatari.

4. Zacharia Hans Pope.
Msimu uliopita Mnyama hakufanya vyema sana.. Hans Pope akakabiziwa jukumu la kusuka upya timu. Alisajili wachezaji 11 wapya.. na kati ya hao 5 wapo 1st eleven, huku mmoja akiwa captain.. ikumbukwe ili kupenya 1st eleven kuna chujio la makocha wenye leseni za kufundisha timu za UEFA Champions League.. hii inadhihirisha ni kwa jinsi gani "uchawi" wa Hans Pope umefanya kazi.. na yanayotokea sasa ni matokeo mazuri ya kazi nzuri ya Hans Pope.

NB:
a] Muhanga wa "uchawi" wetu anayefuata, ni Kagera Sugar.. huyu tutamtafuna tarehe 20/09/2015 "sebuleni" kwetu Taifa Stadium.. Tulivyomtafuna Mgambo na magobole yake, ndivyo tutakavyotafuna miwa ya Kagera.

b] Baada ya Kagera Sugar, itakuwa zamu ya Yanga S.C ambaye ni mteja kwetu [utani tushafuta tangu 2011].. huyu hatutamuongezea dozi, tutampa kiwango kilekile alichozoea.. na tutafanya hivi ili kulinda ajira za makocha wake.. maana tukiongeza kidogo tu.. kuna hatari mtu akaondoka na dazani ya magoli.

Simba S.C, Nguvu Moja.
 
Mkuu sembo, usisahau na kamati ya ufundi kuagiza timu isafiri kwa ndege ikatokea Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
umenifuraisha sana kwa uchambuzi wako,kesho nitakununulia ka coke bariiidi
 
Simba SC inatakata kila mwaka kwa kujinyakulia nafasi ya 3 au ya 4. Hadi sasa mambo yako namna hii:

[TABLE="class: views-table sticky-enabled cols-10 tableheader-processed sticky-table"]
[TR]
[TH="class: views-field views-field-counter"]Pos [/TH]
[TH="class: views-field views-field-title"] Club [/TH]
[TH="class: views-field views-field-played"] P [/TH]
[TH="class: views-field views-field-win"] W [/TH]
[TH="class: views-field views-field-tie"] D [/TH]
[TH="class: views-field views-field-loose"] L [/TH]
[TH="class: views-field views-field-favor"] GF [/TH]
[TH="class: views-field views-field-against"] GA [/TH]
[TH="class: views-field views-field-goals"] GD [/TH]
[TH="class: views-field views-field-points"] PTS [/TH]
[/TR]
[TR="class: odd views-row-first"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Young Africans SC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even views-table-highlighter-magenta"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Azam FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-favor"] 4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 3 [/TD]

[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Simba SC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-favor"] 3 [/TD]

[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mtibwa Sugar FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Majimaji FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-favor"] 2 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-goals"] 2 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 6 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Ndanda FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 1 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-goals"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 4 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 7 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mbeya City Council FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-points"] 3 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 8 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mwadui FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 9 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Kagera Sugar FC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-favor"] 1 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-goals"] 0 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 10 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Toto African [/TD]

[TD="class: views-field views-field-against"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -1 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 11 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]JKT Mgambo [/TD]

[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-against"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 1 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 12 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]African Sports [/TD]

[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 0 [/TD]

[TD="class: views-field views-field-goals"] -3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 13 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Stand United [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 14 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Coastal Union SC [/TD]

[TD="class: views-field views-field-counter"] 15 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Tanzania Prisons [/TD]

[TD="class: views-field views-field-against"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -4 [/TD]

[TR="class: even views-row-last"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 16 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]JKT Ruvu Stars [/TD]

[TD="class: views-field views-field-against"] 4 [/TD]

[/TABLE]
Source: Vodacom Premier League Table | The Official Website of Azam Football Club
 
Kabla ya sasa.. Baada ya mechi ya kwanza mambo yalikua hivi..

1442483223052.jpg

Hii inaonesha ratio ya kupanda kilele ni nafasi tatu tatu.. Hivyo basi baada ya mechi ya tarehe 20/09.. Mnyama anarudi nyumbani kwake [nafasi ya kwanza].. Mark my words Mkuu.
 
Mimi ni Simba damu lakini analysis hii ni mapema mno kutoa conclusion. Lets wait and see
 
Mkuu siku nzuri huonekana mapema.. Huu moto hakuna wa kuuzima.. Nakushauri tembea kifua mbele mtaani, maana ile Simba S.C tuliyoisubiri miaka nenda miaka rudi, ndio hii ya sasa,
 
Kabla ya sasa.. Baada ya mechi ya kwanza mambo yalikua hivi..

View attachment 287891

Hii inaonesha ratio ya kupanda kilele ni nafasi tatu tatu.. Hivyo basi baada ya mechi ya tarehe 20/09.. Mnyama anarudi nyumbani kwake [nafasi ya kwanza].. Mark my words Mkuu.
Tunawasubiri Yanga tarehe 26 ili tujitwalie utukufu.
 
Timu imeanza ligi vizuri.Wachezaji wasivimbe kichwa wazidi kufuata maelekezo ya kocha na kujibidisha kwenye mazoezi.Mwaka

huu kila timu ikae tayari kupokea kichapo toka kwa mnyama
 
Simba SC inatakata kila mwaka kwa kujinyakulia nafasi ya 3 au ya 4. Hadi sasa mambo yako namna hii:

[TABLE="class: views-table sticky-enabled cols-10 tableheader-processed sticky-table"]
[TR]
[TH="class: views-field views-field-counter"]Pos [/TH]
[TH="class: views-field views-field-title"] Club [/TH]
[TH="class: views-field views-field-played"] P [/TH]
[TH="class: views-field views-field-win"] W [/TH]
[TH="class: views-field views-field-tie"] D [/TH]
[TH="class: views-field views-field-loose"] L [/TH]
[TH="class: views-field views-field-favor"] GF [/TH]
[TH="class: views-field views-field-against"] GA [/TH]
[TH="class: views-field views-field-goals"] GD [/TH]
[TH="class: views-field views-field-points"] PTS [/TH]
[/TR]
[TR="class: odd views-row-first"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Young Africans SC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even views-table-highlighter-magenta"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Azam FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Simba SC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mtibwa Sugar FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Majimaji FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 6 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Ndanda FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 4 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 7 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mbeya City Council FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 3 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 8 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Mwadui FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 3 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 9 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Kagera Sugar FC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 3 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 10 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Toto African [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 3 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 11 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]JKT Mgambo [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 1 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 12 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]African Sports [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 13 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Stand United [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 14 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Coastal Union SC [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -3 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 15 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]Tanzania Prisons [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 1 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 5 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[TR="class: even views-row-last"]
[TD="class: views-field views-field-counter"] 16 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-title"]JKT Ruvu Stars [/TD]
[TD="class: views-field views-field-played"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-win"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-tie"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-loose"] 2 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-favor"] 0 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-against"] 4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-goals"] -4 [/TD]
[TD="class: views-field views-field-points"] 0 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: Vodacom Premier League Table | The Official Website of Azam Football Club

Tukutane mwisho wa msimu. Nafasi zitakuwa ndiyo hizo. Tofauti itakuwa idadi point, magoli ya kufunga/kafungwa nk.
 
sehemu zingine zote zinaweza kubadilika ispokuwa sehemu ya jina la timu na nafasi zitabakia hivyo msimu utakapoisha.
 
Back
Top Bottom