Na hizi ni tricks za kucheza na kushinda Keno/Dubwi/Bonanza

Na hizi ni tricks za kucheza na kushinda Keno/Dubwi/Bonanza

uwesuporoto

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
116
Reaction score
58
Kama nilivyoeleza hapo awali hizi ni baadhi ya trick za kushinda dubwi bila hata ya kutumia nguvu wala muda mwingi.
Nimeamua kuja na uzi huu ili kuludisha pesa zetu zilizokuwa zinasafiri kwenda china kila siku na wewe kama una za kwako nakuomba zilete ili tupeane ujuzi zaidi na zaidi.

Kuna aina tofauti ya haya madubwana ila aina tatu ndizo zilizo zaidi hapa bongo kwa sasa yaana ile ya mpila ambayo master win wake ni KOMBE la wanyama master win wake NYOKA na la matunda ambaye master win wake sijamjua bado maana sijawahi kulichezea.

Kutumia master win. Hapa ndipo mzunguko wa kwanza unapo anzia yaani hapa ndipo sehemu yako ya kupumuzikia na kuanza na kodi nyingine yaani haya madude yana zunguka kwa kodi maalamu na hapa kwenye master win wake ndipo inapoanza na kumaliza kodi.

Kwaiyo unachotakiwa kukifanya ni kumuangalia master win. Yaani shikilia master win kwa muda wa kama sec 10 kisha acha alafu shikilia tena master win kwa muda wa sec 10 tena au hata sec 15 ila muda ufanane au hata ulingane kimtindo. Kisha kamata tena master win na uweke dau huku umeikamata master win. Kitakachofuata ni hilo kamali kutoa sauti mbaya na kusoma minamba ya ajabu. Baada ya hapo liachie hautokosa pesa hapo hii ikigoma nitaelezea chini kwenye comment ila usisahau kuweka na za kwako mdau.
 
Master win ni mnyama gani kesho nikawapige wachina hadi wachanganyikiwe
 
Hii mbinu ni ya uongo Jana nimepigwa mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vibaya mnooo
 
Na sisi ulevi wetu ni betin za kawaida yaan mpira.
 
Back
Top Bottom