Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We uliitumia?umempiga huyo mchina?Trick Ni nzuri sema unyanyoosha vyema maelezo 🙏🏽
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii mbinu ni ya uongo Jana nimepigwa mno
Nipo sana uku mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa nyumbani, sijawahi yaona huku.
BTW pole sana kwa kupigwa
Hayo madude huwa nayona tu watu wanaweka mia mbili mia mbili tu, sijawahi kuyaelewa aiseeNipo sana uku mkuu
[emoji16]sheik wangu ayo madude jau sana.Hayo madude huwa nayona tu watu wanaweka mia mbili mia mbili tu, sijawahi kuyaelewa aisee
Kwetu kijijini hayajafika huku, ngoja nifanye mpango niliweke Bujomo niwapige wasukuma[emoji16]sheik wangu ayo madude jau sana.
Wewe mpinzani bukaba hakupi Eneo si bar yake ileKwetu kijijini hayajafika huku, ngoja nifanye mpango niliweke Bujomo niwapige wasukuma
Hajui kama mimi mpinzani, tunakunywaga naye kahawa sana kwa milele paleWewe mpinzani bukaba hakupi Eneo si bar yake ile
[emoji16] Mkufunzi gani unakunywa kahawa?Hajui kama mimi mpinzani, tunakunywaga naye kahawa sana kwa milele pale
Kahawa anakunywa kila mtu, ndo kinywaji pendwa duniani[emoji16] Mwalimu gani unakunywa kahawa?
Alafu sijui nmeandika ujinga gani apoKahawa anakunywa kila mtu, ndo kinywaji pendwa duniani
Naona unejistukia mkuu, ila umezingua kiainaAlafu sijui nmeandika ujinga gani apo
Kwakweli nisamehe bureNaona unejistukia mkuu, ila umezingua kiaina
Wala usijali mkuu tuko pamoja.Kwakweli nisamehe bure