Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

Kwema Wakuu,

Hivi Karibuni bei ya Mafuta imepanda kwa Takriban TZS 100 kwa lita kulinganisha na bei iliyokuwepo awali. Wengi wamejiuliza kwanini Mafuta haya yanauzwa Rahisi nchi za jirani kama Zambia wakati yanapita hapa hapa kwetu hivyo katika nchi hizo yangekua bei ghali zaidi.

Hapa chini ni mchanganuo wa bei ya Mafuta ya Petrol kwa Tanzania. CIF-DSM Price inaweza kua sawa ila kuanzia hapo kila serikali inaamua nini iongeze kwenye hiyo bei ndiomaana zinatofautiana.

Kuanzia 1-19 ni gharama zinazohusu Makampuni ya Mafuta. Na kuanzia 20 ni Wenye vituo vya mafuta

View attachment 1845132
Kumbe ni tozo za Serikali yetu,

Mbona Mataga yanasema eti mafuta yamepanda Soko la Dunia.
 
Kumbe ni tozo za Serikali yetu,

Mbona Mataga yanasema eti mafuta yamepanda Soko la Dunia.
Sasa mkuu nawe unayasikiliza Yale mavichwa maji, Yaaan mfano mtu Kama Kibajaj Lusinde anajua Nini kuhusu uchumi
 
Kwema Wakuu,

Hivi Karibuni bei ya Mafuta imepanda kwa Takriban TZS 100 kwa lita kulinganisha na bei iliyokuwepo awali. Wengi wamejiuliza kwanini Mafuta haya yanauzwa Rahisi nchi za jirani kama Zambia wakati yanapita hapa hapa kwetu hivyo katika nchi hizo yangekua bei ghali zaidi.

Hapa chini ni mchanganuo wa bei ya Mafuta ya Petrol kwa Tanzania. CIF-DSM Price inaweza kua sawa ila kuanzia hapo kila serikali inaamua nini iongeze kwenye hiyo bei ndiomaana zinatofautiana.

Kuanzia 1-19 ni gharama zinazohusu Makampuni ya Mafuta. Na kuanzia 20 ni Wenye vituo vya mafuta

View attachment 1845132
Maisha yametamalaki tayari,lakini namuaminia sana Mama atarekebisha hili bado hajaelewa watu wanampigia wapi.
 
Kwema Wakuu,

Hivi Karibuni bei ya Mafuta imepanda kwa Takriban TZS 100 kwa lita kulinganisha na bei iliyokuwepo awali. Wengi wamejiuliza kwanini Mafuta haya yanauzwa Rahisi nchi za jirani kama Zambia wakati yanapita hapa hapa kwetu hivyo katika nchi hizo yangekua bei ghali zaidi.

Hapa chini ni mchanganuo wa bei ya Mafuta ya Petrol kwa Tanzania. CIF-DSM Price inaweza kua sawa ila kuanzia hapo kila serikali inaamua nini iongeze kwenye hiyo bei ndiomaana zinatofautiana.

Kuanzia 1-19 ni gharama zinazohusu Makampuni ya Mafuta. Na kuanzia 20 ni Wenye vituo vya mafuta

View attachment 1845132
 
DNA inayoongelewa hapa sio DNA za viumbe hai unazozifahamu mkuu.
Kwa, lugha ya malaika wanaviita Molecular Fuel marker.
Kwa Tanzania nimeona wanatumia sana "dyes" (rangi maalumu)

Mafuta huwa yakiingia tu yakishalipa kodi pale bandarini serikali inayawekea dyes, rangi. Then ndio yanaruhusiwa kuanza kuuzwa kwenye vituo. Mara nyingi kiwango kinachowekwa huwa ni 3ppm+/-7.

Mafuta ambayo hayajalipiwa kodi yakipimwa hayatonyesha hiyo 3 lakn pia hayatakua na hiyo rangi.

Mafuta ambayo yamechakachuliwa yakipimwa hayataonyesha hiyo standard. Inaweza kuwa zaidi ya 3 au chini ya Tatu depending na kampaundi zilizoongezwa kwenye hayo mafuta ili yachakachuliwe. Mfano molecule za mafuta ya condensate zikiongezewa kwenye petroli

Mafuta ambayo yameingizwa kimagendo kutoka nchi za jirani pia yakipimwa hayataonyesha uwepo wa hiyo marker lkn pia hayataonesha rangi hiyo.

Na hizi chemikali ziko highly controled zaidi ya unavyoweza kufikiri.
Kwahiyo mkurugenzi wa hicho kitengo anaweza akawa ndiye mtu tajiri kuliko wote hapa Tanzania, maana kama atauza kimagendo walau pipa 2 au 3 za hiyo ‘dye’ kwa wafanyabisahara wa mafuta akishirikiana na wenzake humo bandarini , si atakuwa tajiri sana huyu?! Maana bila shaka watakuwa wanafanya hivyo, hata uweke malaika kwenye hicho kitengo cha kuweka rangi, ataDemka tu, nani huyo kapewa hicho kitengo? Hicho kitengo ni sawa na kupewa kiwanda cha kuchapisha pesa tu
 
nasikia bia zimepunguziwa Kodi
Wewe mpuuzii nyamaza [emoji852][emoji852].... ujui wa tz walianza kuamka kiakili na kutambua utajiri wa nchi yao .sasa tunataka tuwapige pombe wawe kama zama za kikwete
 
Unamaanisha kwamba gharama hizo zinapaswa kulipwa na wahusika uliowataja hapo juu lakini tunazilipa sisi walaji? Nifahamishe zaidi mkuu
Sio kwamba hizo taasisi ndizo zilipaswa kulipa, bali makampuni ya mafuta hulipa hizo kodi/tozo kwa hizo taasisi makampuni hayo hutuchaji sisi kwenye bei.
 
Hizo executive agencies mbili zinatifauti gani
 
Sio kwamba hizo taasisi ndizo zilipaswa kulipa, bali makampuni ya mafuta hulipa hizo kodi/tozo kwa hizo taasisi makampuni hayo hutuchaji sisi kwenye bei.
Indirect tax collection, unafiki mtupu wa serekali
Kwanini isichukue Kodi hiyo moja kwa moja kwa mlaji? Kama jinsi tunavyoona VAT kwenye risiti, unapoweka vocha n.k
 
Kuna kemikali zinawekwa kwenye mafuta yanayotumika nchini. Sasa ukisema mafuta yanaenda nje ya nchi Kisha ukayatumia hapa nchini kinyemela yatakua hayana hizi kemikali.
Cha msingi si yanawasha gari ? Au yakiwekwa gari haiwaki kwa vile gari ya tanzania mafuta ya kenya? 😅 😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cha msingi si yanawasha gari ? Au yakiwekwa gari haiwaki kwa vile gari ya tanzania mafuta ya kenya? 😅 😂 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuwasha yanawasha,
Lengo ni kua siku wakikuotea wakayapima wajakuta hayana kemikali utaambiwa useme umeyapata wapi.
 
Yale mafuta ya petrol ( super) yanayouzwa 2,300,000 mchanganuo wake upoje?
 
Namba 18 na 21 imejirudia.
A4 imejaa tozo za bidhaa moja. Kudadeki! Hatoki mtu.
Kumbe ndio maana bei ya mafuta Zambia na Malawi ni nafuu Sana.
Yaweza kuwa agencies tofauti, kuna analipwa 1.00 na. 18 na na. 21 analipwa 5.44
 
Yale mafuta ya petrol ( super) yanayouzwa 2,300,000 mchanganuo wake upoje?
SUPER ndio hiyo hiyo Petrol, aina za mafuta ni haya hapa chini. Ila hayo ya 2.3mil/litre siyajui aisee

  1. Petrol = Motor Super Premium (PMS)
  2. Diesel = Automotivee Gasoil (AGO);
  3. Mafuta ya Taa = Illuminating Kerosene (IK);
  4. Mafuta ya Ndege = Jet-A1 (Haya huweza pia kutumika Kama mafuta ya Taa)
  5. Heavy Fuel Oil (HFO);
 
Back
Top Bottom