Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

Kumbe ni tozo za Serikali yetu,

Mbona Mataga yanasema eti mafuta yamepanda Soko la Dunia.
 
Kumbe ni tozo za Serikali yetu,

Mbona Mataga yanasema eti mafuta yamepanda Soko la Dunia.
Sasa mkuu nawe unayasikiliza Yale mavichwa maji, Yaaan mfano mtu Kama Kibajaj Lusinde anajua Nini kuhusu uchumi
 
Maisha yametamalaki tayari,lakini namuaminia sana Mama atarekebisha hili bado hajaelewa watu wanampigia wapi.
 
 
Kwahiyo mkurugenzi wa hicho kitengo anaweza akawa ndiye mtu tajiri kuliko wote hapa Tanzania, maana kama atauza kimagendo walau pipa 2 au 3 za hiyo β€˜dye’ kwa wafanyabisahara wa mafuta akishirikiana na wenzake humo bandarini , si atakuwa tajiri sana huyu?! Maana bila shaka watakuwa wanafanya hivyo, hata uweke malaika kwenye hicho kitengo cha kuweka rangi, ataDemka tu, nani huyo kapewa hicho kitengo? Hicho kitengo ni sawa na kupewa kiwanda cha kuchapisha pesa tu
 
nasikia bia zimepunguziwa Kodi
Wewe mpuuzii nyamaza [emoji852][emoji852].... ujui wa tz walianza kuamka kiakili na kutambua utajiri wa nchi yao .sasa tunataka tuwapige pombe wawe kama zama za kikwete
 
Unamaanisha kwamba gharama hizo zinapaswa kulipwa na wahusika uliowataja hapo juu lakini tunazilipa sisi walaji? Nifahamishe zaidi mkuu
Sio kwamba hizo taasisi ndizo zilipaswa kulipa, bali makampuni ya mafuta hulipa hizo kodi/tozo kwa hizo taasisi makampuni hayo hutuchaji sisi kwenye bei.
 
Hizo executive agencies mbili zinatifauti gani
 
Sio kwamba hizo taasisi ndizo zilipaswa kulipa, bali makampuni ya mafuta hulipa hizo kodi/tozo kwa hizo taasisi makampuni hayo hutuchaji sisi kwenye bei.
Indirect tax collection, unafiki mtupu wa serekali
Kwanini isichukue Kodi hiyo moja kwa moja kwa mlaji? Kama jinsi tunavyoona VAT kwenye risiti, unapoweka vocha n.k
 
Kuna kemikali zinawekwa kwenye mafuta yanayotumika nchini. Sasa ukisema mafuta yanaenda nje ya nchi Kisha ukayatumia hapa nchini kinyemela yatakua hayana hizi kemikali.
Cha msingi si yanawasha gari ? Au yakiwekwa gari haiwaki kwa vile gari ya tanzania mafuta ya kenya? πŸ˜… πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cha msingi si yanawasha gari ? Au yakiwekwa gari haiwaki kwa vile gari ya tanzania mafuta ya kenya? πŸ˜… πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuwasha yanawasha,
Lengo ni kua siku wakikuotea wakayapima wajakuta hayana kemikali utaambiwa useme umeyapata wapi.
 
Yale mafuta ya petrol ( super) yanayouzwa 2,300,000 mchanganuo wake upoje?
 
Namba 18 na 21 imejirudia.
A4 imejaa tozo za bidhaa moja. Kudadeki! Hatoki mtu.
Kumbe ndio maana bei ya mafuta Zambia na Malawi ni nafuu Sana.
Yaweza kuwa agencies tofauti, kuna analipwa 1.00 na. 18 na na. 21 analipwa 5.44
 
Yale mafuta ya petrol ( super) yanayouzwa 2,300,000 mchanganuo wake upoje?
SUPER ndio hiyo hiyo Petrol, aina za mafuta ni haya hapa chini. Ila hayo ya 2.3mil/litre siyajui aisee

  1. Petrol = Motor Super Premium (PMS)
  2. Diesel = Automotivee Gasoil (AGO);
  3. Mafuta ya Taa = Illuminating Kerosene (IK);
  4. Mafuta ya Ndege = Jet-A1 (Haya huweza pia kutumika Kama mafuta ya Taa)
  5. Heavy Fuel Oil (HFO);
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…