Na huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Baada ya yule alieamua kuolewa na nani na mimba kambebea,mtoto kamzalia,mwingine huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake alishonwa Kwa matambaa,huyu alishonewa na mamake zamani,kama muonavyo hapo ndoa inafungwa na ndugu wamehudhuria,bwana alijibu vipi kiapo sijui.
Wako bafuni wanaoga wote,akamzalia watoto wa kufanana nae,
Picha nyinge bamjengo nakiwa kalala kwenye kochi kajipumzisha
Nyingine wakiwa out
Nyingine wakifurahia mtoto wao mwingine
Kubwa zaidi ni ndugu na marafiki wako very supportive wakiwa picha ya pamoja kusherekea basdei ya mume wa mwenzao.

Hii Dunia tunakoenda..🖐️
 

Attachments

  • 1728844195915.jpg
    290.2 KB · Views: 6
  • 1728844206700.jpg
    236.6 KB · Views: 7
  • 1728844212089.jpg
    276 KB · Views: 6
  • 1728844219781.jpg
    345.7 KB · Views: 6
  • 1728844226405.jpg
    279.4 KB · Views: 6
  • 1728844237270.jpg
    375.5 KB · Views: 6
  • 1728844244234.jpg
    244.7 KB · Views: 6
  • 1728844251150.jpg
    104.3 KB · Views: 5
  • 1728844256455.jpg
    342.7 KB · Views: 5
Yule mwingine alijioa mwenyewe ila wakaja kuachana
 
Ngoja Niludie Kusoma tena.
 
Hawa ndio wale wanawake wakiwa kwenye prime age zao wanakwambia my body my everything I don't need a Man.

Dakika za jioniiiiii, Alarm zikilia wanakuta manyoya tu.

Wanashtuka hakuna anaye wataka tena.
Hilo ni tatizo la akili sio kukosa mme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…