Na huyu Mpaka afe ndio tumuenzi?. Kwanini tusimuenzi wakati yupo hai

Na huyu Mpaka afe ndio tumuenzi?. Kwanini tusimuenzi wakati yupo hai

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,373
186990_100002261565931_8084506_n.jpg




Massey_Ferguson_tractor.jpg



WHY???
 
bongo kungekuwa na tuzo za maana ndo ingekuwa kama njia ya kumwenzi
 
watasema tuenzi kazi zake........anajitahidi sana huyo mjamaaa

tangu enzi zileeeee za ile kazi yao nakumbuka alicheza maskin baadae akawa tajiri nimeisahau jina
 
Maana chukulia mfano kwa Bi kidude, Mzee Ngurumo, Mzee Issa Matona etc.
 
Hakikia amelitumikia taifa kwa miaka mingi sana. Lapda TUPOGO, anaweza kumpatia hilo trekta, maana Viongozi wa kisiasa wanangoja wakisikia kafa,(ALLAH AKUPE UMRI MREFU, INSHAALAH), Ndio utawaona umaarufu wao.
 
Alimuomba mhe rais kupitia mkasi amsaidie trekta,sasa sijui km jk ameshamsikia au la?au washauri wa mhe hawajazinyaka wakamtaarifu bosi wao kweli?
 
Alimuomba mhe rais kupitia mkasi amsaidie trekta,sasa sijui km jk ameshamsikia au la?au washauri wa mhe hawajazinyaka wakamtaarifu bosi wao kweli?

Ndio nashangaa ndugu yangu. Au wanasubiri wahudhuria msiba kama ilivvyo kua kwa Kanumba au Bibi kidude???. Kwanini tusiwaenzi watu hawa wakiwa hai. Yaani hata Alicho kifanya Diamond (Nassib Abdul) Kwa Mzee NGURUMO bado BASATA, na Wadau wengine hawajifunzi tu?. Mtu mzima hua haambiwi kwa Maneno, huambiwa kama alivyo fanya Diamond.

Sasa zindukeni, hatutaki muende kutafufa Misifa kwenye misiba ya Wasanii wakati hamuwathamini katika Uhai wao.
 
halafu kitu kingine,

ili uenziwe lazima na wewe uwe unajielewa!!

hatuwezi kumuenzi mtu ambaye kila leo anaisumbua jamii kwa mambo ya kipumbavu!! mara picha za uchi, kafumaniwa, kagombania mume, katoka na producer, kasafirisha sembe na scandal nyingine nyingi!

mtu wa hivyo akienziwa itakuwa ni ujinga!!

kuwa maarufu isiwe chanzo cha kuenziwa!
 
Aaah aah kweli sio kila mtu maarufu anastahili kuenziwa bhana..
 
na hilo trector hapo lina maana gani?

halafu kitu kingine,

ili uenziwe lazima na wewe uwe unajielewa!!

hatuwezi kumuenzi mtu ambaye kila leo anaisumbua jamii kwa mambo ya kipumbavu!! mara picha za uchi, kafumaniwa, kagombania mume, katoka na producer, kasafirisha sembe na scandal nyingine nyingi!

mtu wa hivyo akienziwa itakuwa ni ujinga!!

kuwa maarufu isiwe chanzo cha kuenziwa!

Kwanza nadhani hujamjua tunae Muakilisha hapo. Huyu sio Kitale, ni Mzee Majuto almaarufu King Majuto.

Na hilo tractor ni nembo ya kilio chake kwa Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Amekua akimuomba kwa kila njia anayo iweza kuitumia.

Kuhusu SKENDO, Sio issue. Kila mtu ana SKENDO. Hata wewe ukianza tu kua tofauti na wenzako katika Umaarufu, basi na skendo zako zote tuta zijua, kama vileMpenzi wako wa kwanza na vitu kama hivyo. Yaani kila kitu hadharani. Si unajua kuna watu hizo ndio ajira zao.
 
acheni utan kasema mwenyewe kipato chake ni zaidi ya milioni 15-20.anaweza kujiendeleza vizur tu wala hatuna haja ya kumuinua
 
kweli inashangaza sana kwani tukimuenzi sasa kuna ubaya gani naye aone na kufaidi matunda yake akiwa ahaiv

NGOJA AFE (Mwenyezi Mungu ampe Umri Mrefu), Ndio utajua Unafiki wa Watanzania.
 
Misiba ya mastaa mitaji we ngoja afe mtachangishwa hadi kwa mpesa..hii ndo thaman yako inaonekana ukifa
 
Back
Top Bottom