Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
![]()
WHY???
Maana chukulia mfano kwa Bi kidude, Mzee Ngurumo, Mzee Issa Matona etc.
Alimuomba mhe rais kupitia mkasi amsaidie trekta,sasa sijui km jk ameshamsikia au la?au washauri wa mhe hawajazinyaka wakamtaarifu bosi wao kweli?
na hilo trector hapo lina maana gani?
halafu kitu kingine,
ili uenziwe lazima na wewe uwe unajielewa!!
hatuwezi kumuenzi mtu ambaye kila leo anaisumbua jamii kwa mambo ya kipumbavu!! mara picha za uchi, kafumaniwa, kagombania mume, katoka na producer, kasafirisha sembe na scandal nyingine nyingi!
mtu wa hivyo akienziwa itakuwa ni ujinga!!
kuwa maarufu isiwe chanzo cha kuenziwa!
![]()
![]()
WHY???