Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Jeshi la polisi upande wa barabara wamezuia madereva wanaotumia taa za vimulimuli na ving'ora kwa magari yasiyostahili pamoja na kwa bodaboda. Ni hatua nzuri.
Bado kuna changamoto moja hasa upande wa bodaboda. Wengi wameweka honi ambazo zinaleta kelele na hofu njiani. Ukiwa mbele yake na ukaisikia ile honi unaweza kuhama njia. Sasa jeshi la polisi walitazame hili. Bodaboda zirudi katika asili yake ya honi.
Yani hata gari hazina hiyo mihoni ambayo imefungwa kwenye bodaboda.