Na mahoni ya bodaboda yaondolewe

Na mahoni ya bodaboda yaondolewe

S
hakuna sheria tanzania kama kuna sheria watanyooka mbona india kuna bodaboda na bajaji kuliko tanzania au indonesia mbona wanafuata sheria na hawana fujo. ila tz tu sababu hakuna sheria kabisa
Soma post namba 19 hapo juu
 
Glvipi kuhusu zile kelele wanazozipiga unaweza dhani mtu kafyatua risasi. Kuna mmama mmoja nusu wamuuwe kwa presha, wakaachia paaaaaah halafu ghafla tu kila mtu alistuka. Hili nalo walikataze
 
Glvipi kuhusu zile kelele wanazozipiga unaweza dhani mtu kafyatua risasi. Kuna mmama mmoja nusu wamuuwe kwa presha, wakaachia paaaaaah halafu ghafla tu kila mtu alistuka. Hili nalo walikataze
sure. ile ni risk sana
 
Ni kweli ma dereva boda boda hawana ustaarabu, wanaofatia baada ya madereva boda boda ni madereva wa serkali,hovyo kabisa.Hadi vizee vinaendesha gari na kutanua hovyo hovyo.
Wanatumia vibaya mno magari yaliyonunuliwa kwa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom