Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Na zile zinazowekwa muziki mkubwa kama discoMi naomba wapige marufuku zile zinazopiga kelele kupita kiasi. Ikipita hapa hamsikilizani kabisa. Na inawaachia msongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na zile zinazowekwa muziki mkubwa kama discoMi naomba wapige marufuku zile zinazopiga kelele kupita kiasi. Ikipita hapa hamsikilizani kabisa. Na inawaachia msongo.
Soma post namba 16 hapo juukama ulishawahi sikia kuhusu noise pollution basi ni India. Bado hawajastaarabika
Soma post namba 19 hapo juuhakuna sheria tanzania kama kuna sheria watanyooka mbona india kuna bodaboda na bajaji kuliko tanzania au indonesia mbona wanafuata sheria na hawana fujo. ila tz tu sababu hakuna sheria kabisa
Hawajawaamulia tu, wakajifunze hapo Kenya tu namna ya kudeal na bodabodaBoda waliwashindwa kitambo sana.