Hahahaaaa... Unawajua sana. Leo nimeona jamaa wamepakizana hawana kofia na wako kwenye mataa. Sasa dereva akachomoa ufunguo huku pikipiki iko silencer akamkabidhi jamaa wa nyuma yake. Nikasema duh!Boda kaweka mafuta full tank amevaa kindala kinabembea
anakukwaruzia stendi miguuuni halafu yule kishadaaa, ukija
kwenye honi akikupgia unaweza hisi scania lipo nyuma,Mkimbize
kama utamdaka Boxer cc 150 iko full tank ikikupta kuipata ni Umuombee AJALI
otherwise n ukifunga macho kufungua kashatokea dodoma,wewe bado upo Dar
wale ukijifanya unakimbilia kuchomoa Funguo UnajidanganyaHahahaaaa... Unawajua sana. Leo nimeona jamaa wamepakizana hawana kofia na wako kwenye mataa. Sasa dereva akachomoa ufunguo huku pikipiki iko silencer akamkabidhi jamaa wa nyuma yake. Nikasema duh!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa kumbe unawajua vizuri Sana Kuna siku nilishangaa sehemu inayo takiwa uwe na speed isiozidi 50 na haurusiwi kuovertake na mbele Kuna rundo la traffic police huwezi amini walitupita na speed 100 na police waliwaangalia tu .wale ukijifanya unakimbilia kuchomoa Funguo Unajidanganya
kwanza wanatembe na funguo mbli mbli,ukichomoa fungo yake
ukimpa mgongo tuu ukapga hatua 5 atavyowasha atakuchorea duara
hapo Kumdaka ni mumkimbize na Ndege za anga sio huku ardhini tena...
Jamaa alipochomoa funguo bodaboda bado ilikiwa onwale ukijifanya unakimbilia kuchomoa Funguo Unajidanganya
kwanza wanatembe na funguo mbli mbli,ukichomoa fungo yake
ukimpa mgongo tuu ukapga hatua 5 atavyowasha atakuchorea duara
hapo Kumdaka ni mumkimbize na Ndege za anga sio huku ardhini tena...
Halafu hao jamaa huwa hawavai helmet wala koti. Ana ka tshirt tu. Sijui macho yao na vifua vyao vimeundwajeBoda kaweka mafuta full tank amevaa kindala kinabembea
anakukwaruzia stendi miguuuni halafu yule kishadaaa, ukija
kwenye honi akikupgia unaweza hisi scania lipo nyuma,Mkimbize
kama utamdaka Boxer cc 150 iko full tank ikikupta kuipata ni Umuombee AJALI
otherwise n ukifunga macho kufungua kashatokea dodoma,wewe bado upo Dar
Wajinga wanafunga honi za harrier zinakelele utafkiri gari kumbe Toyo HaojueJeshi la polisi upande wa barabara wamezuia madereva wanaotumia taa za vimulimuli na ving'ora kwa magari yasiyostahili pamoja na kwa bodaboda. Ni hatua nzuri.
Bado kuna changamoto moja hasa upande wa bodaboda. Wengi wameweka honi ambazo zinaleta kelele na hofu njiani. Ukiwa mbele yake na ukaisikia ile honi unaweza kuhama njia. Sasa jeshi la polisi walitazame hili. Bodaboda zirudi katika asili yake ya honi.
Yani hata gari hazina hiyo mihoni ambayo imefungwa kwenye bodaboda.
Alinipakiza 1 anaendesha hadi unajishkilia, machozi yananichurizika ila yeye hana helmetHalafu hao jamaa huwa hawavai helmet wala koti. Ana ka tshirt tu. Sijui macho yao na vifua vyao vimeundwaje
Hongera bodabodaBoda kaweka mafuta full tank amevaa kindala kinabembea
anakukwaruzia stendi miguuuni halafu yule kishadaaa, ukija
kwenye honi akikupgia unaweza hisi scania lipo nyuma,Mkimbize
kama utamdaka Boxer cc 150 iko full tank ikikupta kuipata ni Umuombee AJALI
otherwise n ukifunga macho kufungua kashatokea dodoma,wewe bado upo Dar
kama ulishawahi sikia kuhusu noise pollution basi ni India. Bado hawajastaarabikahakuna sheria tanzania kama kuna sheria watanyooka mbona india kuna bodaboda na bajaji kuliko tanzania au indonesia mbona wanafuata sheria na hawana fujo. ila tz tu sababu hakuna sheria kabisa
Hivyo vimulimuli vingezuiwa huko madukani vinakouzwaJeshi la polisi upande wa barabara wamezuia madereva wanaotumia taa za vimulimuli na ving'ora kwa magari yasiyostahili pamoja na kwa bodaboda. Ni hatua nzuri.