Na maswali kwa wana jf!!!

Guyana Halima

Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
78
Reaction score
1
1. Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi??

2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake??

3. Kama tunatakiwa tusi drive wakati tumekunywa kwanini bar kuna parking??

4. Kama neno "abbreviation" linamaanisha ufupisho kwanini lenyewe ni refu hivyo??

Majibu mpe mwenzako!!!!
 

Nikujibu la pili na wewe ndo mwenzangu wa kujibu
kwa sababu chupa ya gundi ni ya plastic na plastic materials hazishiki gundi kabisa
 
Wewe ni mwarabu? kama ndiyo haya majibu unayo
 

Tafutatafuta huku kwenye previous posts utapata majibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…