Na mie nahitaji kuolewa!!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Bandugu mwaka mpya na mambo mapya.
Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa habari mwingine nimemuacha kimya kimya yaani hayupo romantic af dizaini hajui kuishi kisuperstar humu tokea niwe nae nimedetoriate sana humu cc.Sasa kukawa kuna mume wa mtu humu cc kanizimia sana mihela kila saa anantumia jf pesa ila akuuuuu mi mtoto wa watu naheshimu ndoa nlilelewa nkaleleka nimemkataa.
Bado naendelea na mchakato nahitaji mume mwenzenu nimeshachoka kama shosti Zinduna alivyosema kitchen party ya YNNAH nimecheza sendoff ya ladydoctor nilikuwa mwenyekiti harusi ya Heaven on Earth na figganigga allias kobun nlikuwa mshika shela.
Kwenye kibao kata cha Paloma nlikatika mpaka kiuno kikaenda kushoto.Na sasa ameolewa anaishi salama na hubby ake sosoliso ndoa ya watu8 na measkron nlikuwa mlinzi getini maana wakina Zahra White na co walikuwa wanataka kuleta keki eti na vanga ukumbini wamusute dada measkron ikabidi niwe mlinzi.
Kaizer kwa wake zake wote nlikuwa nampikia solo na kumpelekea kwa mdunange.Kwenye ndoa ya kiwatengu na shansarie nliongoza jopo la makungwi kumsinga kiwatengu na keshokutwa yake tukamfanyia shansarie her night iliitwa shansarie's night ilinoga sana nlihakikisha mabilionea wa chuga wamehudhuria wote na walimtunza dollar and no fake zone.
Sasa jamani na mie imefika wakati wangu wa kuolewa humu cc.
Ni hilo tu natumai ntafanikiwa.
Mwaka huu nina mpango kabambe sana na nimeshaboresha maujuzi kwenye hiyo sekta.
Ahsanteni ndugu zangu na wanafamilia wa chitchat kwa kunisikiliza ombi langu najua litafanyiwa kazi.
Cc rais wa cc Arushaone mwenyekiti wa cc Baba V mwenyekiti wa cc Erickb52 mwenyekiti wa cc mwingine Nicas Mtei Mwanyasi KOKUTONA Mtambuzi watu8 DARKCITY natambua uwepo wako mwenyekiti wa chuga PakaJimmy Mamndenyi ladyfurahia farkhina Jerrymsigwa Kipaji Halisi Vin Diesel DEMBA mwallu mkiva na wanacc wooooote.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe uko singo? OMG uzoefu wako ni tosha sana n u deserve a serious hubby
 
jamani kama huijui cc usishadadie maana nimeshaanza kupokea pm.
Plz guys this is cc.
Uuuuwiiii sasa ngoja niturnoff pm looo maana nina :faint: :faint:
watu hawajui cc daaaa am down to es :faint:
 
Ngoja nikuweke kwenye list ya specific goals za programme yangu ya kuoa humu cc mwaka huu...
Be careful... you are watched...
 
jamani kama huijui cc usishadadie maana nimeshaanza kupokea pm.
Plz guys this is cc.
Uuuuwiiii sasa ngoja niturnoff pm looo maana nina :faint: :faint:
watu hawajui cc daaaa am down to es :faint:

hahahaa.... Chezea zumbukuku wewe.... ulimwengu uko huku LOL! Wafundishe hukohuko cc ni nini amu
 
Last edited by a moderator:
Hila kumbuka ndoa ngumu angalia mwisho wa siku yasije yakawa kama wema na diamond:banghead:
 
Probably ! Mie awali ya yote ungeniwekea sawa vipengele viwili vilivyo n'tata kunako Uzi wako!
Cha kwanza , Mume wa pili uliyempata "alikua mwingi wa habari" hapo unamaana alikua anapenda sana Media yaani Msoma magazeti sana , msikilizaji sana news Radio , Tv au ?
Cha pili , umesema ulishiriki mnuso wa harusi ya kiwatengu vs measkron !
Hii kapo ipo kweli au written error ?
 
Last edited by a moderator:

Afadhali unisaidie shem nimeshtukaje au measkron mke mwenzangu nijue mapema niachie ngazi.
 
Last edited by a moderator:
Baba V Naja kwako kwa mara nyingine.. Nitendee haki, nimpate huyu kimwana..
 
Last edited by a moderator:
amu njoo kwangu... Nikuite mpenzi nawe uniite mpenzi.... Tupendane tu kwenye raha, kwenye shida kila mtu ashike lake.
 
Last edited by a moderator:
amu njoo kwangu... Nikuite mpenzi nawe uniite mpenzi.... Tupendane tu kwenye raha, kwenye shida kila mtu ashike lake.

Mzee wakubembeleza na maneno matamu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…