Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

Bandugu mwaka mpya na mambo mapya.
Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa habari mwingine nimemuacha kimya kimya yaani hayupo romantic af dizaini hajui kuishi kisuperstar humu tokea niwe nae nimedetoriate sana humu cc.Sasa kukawa kuna mume wa mtu humu cc kanizimia sana mihela kila saa anantumia jf pesa ila akuuuuu mi mtoto wa watu naheshimu ndoa nlilelewa nkaleleka nimemkataa.
Bado naendelea na mchakato nahitaji mume mwenzenu nimeshachoka kama shosti Zinduna alivyosema kitchen party ya YNNAH nimecheza sendoff ya ladydoctor nilikuwa mwenyekiti harusi ya Heaven on Earth na figganigga allias kobun nlikuwa mshika shela.
Kwenye kibao kata cha Paloma nlikatika mpaka kiuno kikaenda kushoto.Na sasa ameolewa anaishi salama na hubby ake sosoliso ndoa ya watu8 na measkron nlikuwa mlinzi getini maana wakina Zahra White na co walikuwa wanataka kuleta keki eti na vanga ukumbini wamusute dada measkron ikabidi niwe mlinzi.
Kaizer kwa wake zake wote nlikuwa nampikia solo na kumpelekea kwa mdunange.Kwenye ndoa ya kiwatengu na shansarie nliongoza jopo la makungwi kumsinga kiwatengu na keshokutwa yake tukamfanyia shansarie her night iliitwa shansarie's night ilinoga sana nlihakikisha mabilionea wa chuga wamehudhuria wote na walimtunza dollar and no fake zone.
Sasa jamani na mie imefika wakati wangu wa kuolewa humu cc.
Ni hilo tu natumai ntafanikiwa.
Mwaka huu nina mpango kabambe sana na nimeshaboresha maujuzi kwenye hiyo sekta.
Ahsanteni ndugu zangu na wanafamilia wa chitchat kwa kunisikiliza ombi langu najua litafanyiwa kazi.
Cc rais wa cc Arushaone mwenyekiti wa cc Baba V mwenyekiti wa cc Erickb52 mwenyekiti wa cc mwingine Nicas Mtei Mwanyasi KOKUTONA Mtambuzi watu8 DARKCITY natambua uwepo wako mwenyekiti wa chuga PakaJimmy Mamndenyi ladyfurahia farkhina Jerrymsigwa Kipaji Halisi Vin Diesel DEMBA mwallu mkiva na wanacc wooooote.
Uliandika kwa hisia amu
 
Back
Top Bottom