Wazee wazamani walinifunda..... Kuchapiwa..........
hayatajirudia yale yale?
Halafu yale makasheshe ya kiutu uzima nani atanipa? Filipo uishi maisha marefu baba....
hayawezi!!!!!!!!!
mpe sumu huyu mtu...
Aaaaamen! Na mie nitakupenda siku zote za maisha yetu!
Aaaaamen! Na mie nitakupenda siku zote za maisha yetu!
Kuna muda hata njaa inapotea hasa ukipata maneno kama haya toka kwa mume tena sio ndoa changa bali iliyoanza kukomaa
Mpaka sumu itakapowatenganisha....
Aombaye hupewa kuwa na subra. had mwaka uishe utampata chaguo lako
yaani watu kama nyie nimegundua wanaume wana ugwadu sana Vin Diesel mijitu inakuja pm serious serious eti