Na mie nahitaji kuolewa!!!

amu kafanya marketing ya JF.....kazi nzuri..............
Preety...zamu yako na wewe

Ahhh aku mie nina mume, nina best na close frnd nina mwenye mapenzi ya dhati ahh jmn ana haki ya kufanya marketing ni raha ilioje kupenda unapopendwa nina mpenda sana #mkiva wangu jmn euwiiii!
 
Ahhh aku mie nina mume, nina best na close frnd nina mwenye mapenzi ya dhati ahh jmn ana haki ya kufanya marketing ni raha ilioje kupenda unapopendwa nina mpenda sana #mkiva wangu jmn euwiiii!

Duh...Umejieleza mpaka basi Preety....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…