Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
amu my dear..........mamboz?
Vipi ushapatwa? Nataka nilete 'selo' mie nijimwayemwaye dadake..........!
sumu ya panya tena.....
Tena ile inayokausha....hakuna harufu hata kidogo
haswaa..... Una akili sana wewe ulitakiwa ufanye kazi mochwari!!!!!
kweli shemegi.. amu njoo!
Tayari dear
I Love you too Love...........
HahahahahahaahahaaaAa kumbe ndo maana ukauliza kulee Heaven on Earth kwanini kaandika love e?
Abiria chunga mzigo wako......naomba ukichat na Vin kuwe kuna mipaka LOL
Mmmmhhh kwakweli aisee ngoja nitimue mbio daaaah samahani kwakweli!
HahahahahahaahahaaaAa kumbe ndo maana ukauliza kulee Heaven on Earth kwanini kaandika love e?
Abiria chunga mzigo wako......naomba ukichat na Vin kuwe kuna mipaka LOL
namjua Vin Diesel.....ila nashukuru ulianza kwa kumwambia status
Mbona unawatisha watu jamaniiiii
Sasa mke wangu ahata kama 'twajuana' ndio ulimwengu wote ujue? au ndio dalili za kutokuniamini
Siwatishi nawaeleza hali halisi
Ulikuwa wapi LOVE
Ukweli gani?